Join our team

We are building a culture where innovative minds thrive. Join us in creating solutions that matter and shape the future together.

Open Positions

Find your perfect role in our growing team

No positions found matching your filters.

What Our Clients Say

Discover how Settlo is transforming businesses across Tanzania through the experiences of our valued clients.

I travel a lot, hivyo Settlo inanisaidia ku-access sales na pia kuangalia inventory. Lakini pia, huwa natumia app kuhakikisha kwamba naona kitu gani kinauzika zaidi. Hii inanisaidia kupanga ratiba yangu ya kutengeneza au kuagiza bidhaa, I will always choose Settlo.

Yolanda

Yolanda

Business Owner

Wafanyakazi waliiba na wakaiba tena. Baada ya kuweka Settlo wakaacha kazi....sababu ukitumia Settlo hata nisipokua dukani naona kila kinachoendelea

White

White

Business Owner

Settlo inanisaidia kufanya mauzo na kurekodi taarifa za mauzo ili kutoa ripoti kwa bosi wangu. Sababu ni kwamba hata kama hayupo dukani, anaweza kuona kinachoendelea. Hata kabla sijampigia simu, anaweza kuona kabisa ni bidhaa gani zimebaki na zipi zinahitaji kununuliwa.

Roras

Roras

Sales manager

Join thousands of satisfied businesses using Settlo

Start Your Free Trial